Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

86963fdaa32ea31a83155e1ef6432961.jpg
 
Jiji la Mwanza ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Mwanza. Mji upo kando la ziwa Viktoria Nyanza Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 378,327 (ukijumlisha wakazi wa Wilaya ya Nyamagana na sehemu za Wilaya ya Ilemela).
 
Mwanza ilianzishwa na Wajerumani wakati wa koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Mahali paliteuliwa kutokana na nafasi ya bandari asilia upande wa kusini ya Ziwa Viktoria. Wajerumani waliuita mji kwa jina "Muansa" inaaminiwa ilikuwa matamshi yao ya neno "nyanza".
 
Walijenga boma kubwa iliyoendelea kitovu cha mji. Takwimu ya Kijerumani ya 1912 ilihesabu wazungu 85, Wagoa 15, Wahindi wengine 300 na Waarabu 70 lakini haikutaja wakazi Waafrika. Palikuwa na makampuni ya biashara 12 ya kizungu na 50 ya Wahindi.[1].
 
Manisipaa ya Ilemela ni wilaya moja kati ya mbili zinazofanya ya Jiji la Mwanza kwenye Mkoa wa Mwanza, pamoja na manisipaa ya Nyamagana.

Wakati wa sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa [1]

Misimbo ya posta katika Ilemela inaanza kwa tarakimu 332 .
 
Manisipaa ya Nyamagana ni wilaya moja kati ya mbili zinazofanya kwa pamoja Jiji la Mwanza kwenye Mkoa wa Mwanza, nyingine ni manisipaa ya Ilemela. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 363,452 waishio humo. [1]

Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu za 332.. .
 
Back
Top Bottom