Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitangiri ni jina la kata ya Manisipaa ya Ilemela (sehemu ya Jiji la Mwanza)katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 20,802 waishio humo.[1] Msimbo wa posta ni 33211.
 
Kata za Jiji la Mwanza - Mkoa wa Mwanza - Tanzania
Wilaya ya Ilemela: Bugogwa • Buhongwa • Buswelu • Butimba (Ilemela) • Igoma • Ilemela • Mkolani • Nyakato • Pasiansi •Sangabuye
Wilaya ya Nyamagana: Igogo • Isamilo • Kirumba • Kitangiri • Mbugani • Mirongo • Mkuyuni • Nyamagana • Nyamanoro • Pamba
 
Pamba ni jina la kata ya Manisipaa ya Nyamagana katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania yenye postikodi namba 33102[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,519 waishio humo.[2] Msimbo wa posta ni 33102.
 
Nyamanoro ni jina la kata ya Manisipaa ya Ilemela (sehemu ya Jiji la Mwanza)katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 51,456 waishio humo.[1] Msimbo wa posta ni 33201.
 
Nyamagana ni kata na kitovu cha Manisipaa ya Nyamagana katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania yenye postikodi namba 33101[1]. Iko kwenye rasi inayoingia ndani ya Ziwa Viktoria. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,807 waishio humo. [2]
 
Mirongo ni jina la kata ya Manisipaa ya Nyamagana katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania yenye postikodi namba 33103[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 2,925 waishio humo.[2] Msimbo wa posta ni 33110.
 
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye Hostel baada ya kutokea ugomvi huo.

Mkuu wa Chuo hicho Profesa Emmanuel Mjema ambaye ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea katika hosteli binafsi maeneo ya Ilala na sio katika hosteli ya chuo kama ilivyokuwa ikizungumzwa kwenye mitandao ya kijamii.
 
Profesa Mjema ameeleza kuwa Marehemu anayetambulika kwa jina la Shija alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi mwenzake na siku ya tukio alikwenda kumtembelea na kumkuta akiwa na Mwanaume mwingine.

Baada ya kuwakuta ugomvi uliibuka na kupelekea Shija kujirusha mwenyewe kutoka ghorofani na kufikwa na mauti.
 
Back
Top Bottom