andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Niaje Dodoma[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wacha weee linaleta umbo lokote
Niaje Dodoma[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wacha weee linaleta umbo lokote
Nipo mitaa ya Airpot hapaHahahaha, hii mbinu yako ya kunipa mm u baba kiboko [emoji12] haya nakupitia ,wapi upo
Leta namba PM tukupitieNipo mitaa ya Airpot hapa
Kumekucha Mchana SasaWatu wamelala
Namshukuru Mungu Kwa Mahaba Unayo NipaTumshukur Mungu kwa upendo anaotupa
Wewe njoo mpaka ABC hapa ukifika uniambie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Leta namba PM tukupitie
DodomaYegomasika
Dar Es SalaamMyoyambendi
SingidaMzee wa liver
Taja rangi ya chenzaApple
PwaniT 1990 Ely
Hahahaha, weka namba PMWewe njoo mpaka ABC hapa ukifika uniambie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Una utan na mm eeeeh
SumbawangaMsanii wa muziki Bongo, Witness Kibonge Mwepesi amekiri kuwepo kwa rushwa ya ngono katika muziki.
Rapper huyo anayetamba na ngoma ‘Kwani Shingapi’ amekiambia kipindi cha The Playlist cha Times Fm vitendo hivyo havijaaza leo bali ni kitu ambaho kipo kwa muda mrefu na hadi sasa kinaendelea.
MwanzaNilikutana nazo kipindi hicho, sema inaenda inafika kipindi watu wanaanza kufanya kwa kutilia ugumu ili ujiongeze mwenyewe,” amesema Witness.
“Kwa sasa hivi mtu haniambii direct, anaongea indirect kwa sababu kwangu watu wengi hawataki kupokea pesa na hawatopokea lakini inaonekana kabisa dizani kama kwanini huyo mtoto watu hawamkamui?,” alisisitiza
IringaAmeongeza kuwa vitendo hivyo haviwezi kuathiri muziki wake ile ufikishwaji wa ngoma zake kwa mashabiki unakuwa mgumu/unakutana na vigingi.
“Hii haiwezi kusaidia industry kwa sababu mimi ni kama dada au mama yako, pata picha dada yako akafanyiwa kitu kwa ajili apewe kitu how did you feel, is not good,” amesema Witness.
[emoji102][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wacha weee linaleta umbo lokote
MorogoroMambo niaje? Wanga time lakini nadhani wanga wote wameamua kulala mapema!
MtwaraKabisaa na mm nalala uwe na usiku mwemaaa