Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mamlaka ya Mexico inajitayarisha kukamata baadhi ya watu wanaohusiaka na kuwateka na kuwaua wanafunzi na walimu 43 miaka zaidi ya mitatu iliyopita.
Kwa mujibu wa habari,tukio hilo lilitokea kusini mwa Mexico.
 
Mwendesha mashtaka Alfredo Higuera amesema kuwa amepata habari mpya zitakazomwezesha kukamata watu 30 wakiwemo maafisa polisi kufuatia mauaji hayo.

Upoteaji wa wanafunzi na walimu 43 mnamo 26 Septemba 2014 katika mji wa Iguala jimbo la Guerrero uliichafua heshima ya nchi ya Mexico na kupunguza umaarufu rais Enrique Pena Nieto.

Guerrero limekuwa ni jimbo hatari nchini Mexico.
 
Mwanza
 
Iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…