Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie hata kuwapa likes nasita nahisi watanifata usiku aiseee nyoka sio rafiki
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana kwakweli.

Last year nilipata shuhudia kama watu wawili hivi walioumwa na nyoka wakaishia kukatwa miguu,so sad.
Nawaogopa haswaa na bahati mbaya huku niliko wapo,aaagrrr[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Na wewe wamekugandishia huko?!!! Kuhama haiwezekani?

Njoo tukae kamati,ndoa ya bomani then nakuhamisha... Sihitaji konokono mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…