HAMASA YA 3, Juhudi na mafanikio.
Kama hutaki kuweka juhudi kubwa kwa kile unachokifanya, basi jiandae kupata matokeo sawa sawa na juhudi zako hizo unazoziweka. Huwezi kupata matokeo kinyume na juhudi unazoziweka hata siku moja, ni lazima utapata matokeo yanayoendana na juhudi zako hizo unazoziweka.
Tujiandae kwenda kusaliJumapili ingine
Kweli .Tujiandae kwenda kusali
Pita hapa mikumi utalii kdgDom -Iringa
Huyo jamaa wakikutana na huyu binti hapa chini sipati picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunyambana
Sauzi kuna misambwanda ya kufa mtu. Hili lisichana linasemega eti lilokole. Mwili laini tipwatipwa livivu vivu yaani mpaka raha...He he....
Domika ya ngapi kesho ya mwaka wa kanisa?Tujiandae kwenda kusali
Itabidi kuokoka nalo tu..hakuna namnaSauzi kuna misambwanda ya kufa mtu. Hili lisichana linasemega eti lilokole. Mwili laini tipwatipwa livivu vivu yaani mpaka raha...
Ungangari wote kwisnei. Kweli kila mtu ana weakness yake. Yaani hapa nilipo fulu magego yaani. Picha 50 za manyoka na mafunza zinakuja. Au niweke tu misambwanda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shimbaaaaaaaaaaaa
Najiandaa kulala mie,sijui nikuweke kwa isis (ignore list)kwa muda hahahhaUngangari wote kwisnei. Kweli kila mtu ana weakness yake. Yaani hapa nilipo fulu magego yaani. Picha 50 za manyoka na mafunza zinakuja. Au niweke tu misambwanda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka tu numbisa kasinzia....Ungangari wote kwisnei. Kweli kila mtu ana weakness yake. Yaani hapa nilipo fulu magego yaani. Picha 50 za manyoka na mafunza zinakuja. Au niweke tu misambwanda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]