andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Wee acha tu. Ni mwendo wa vifungu kwenye Ufunuo wa Yohana... Kutishana tu
Marahabaa,sijambo hahahaah
Shimbaaaa
Hahahaah[emoji15][emoji15][emoji134]♂️[emoji134]♂️
We si ulinitisha mpaka nikazitoa? Ni manyoka tu na funza mpaka kieleweke !!!Tunataka picha ya zile samaki ulizoweka kwenye oven usijisahaulisheeee
Haya Ndiyo Mambo Makubwa Mawili, Ambayo Ni Lazima Ukutane Nayo Sana Kwenye Safari Ya Mafaniko Yako.
Katika safari yako ya mafanikio, yapo mambo makubwa mawili ambayo ni lazima ukutane nayo sana. Mambo haya kila binadamu anakutana nayo sana, hakuna mtu ambaye hakutani nayo hata kama hutaki mafanikio, utakutana nayo tu.
ShimbaaaaaaaaaaaaWe si ulinitisha mpaka nikazitoa? Ni manyoka tu na funza mpaka kieleweke !!!
Kipi unachokiona kila kunapokucha? Unaona unazungukwa na fursa au unaona kila kitu unazungukwa na hasi nyingi ambazo haziwezi kukusaidia wewe maishani mwako. Unatakiwa kujifunza kutambua fursa za mafanikio yako kila siku.
Unatakiwa nguvu zako nyingi sana uziweke sehemu moja, uziweke sehemu ambayo itakupa matokeo. Hata kama una juhudi vipi, kama nguvu zako nyingi unazitapanya kwa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ni ngumu sana kuweza kufanikiwa.
Thamani unayotoa na inategemea sana pia na muda unaoutumia katika kufanya jambo hilo. Unatakiwa kutumia muda mchache kufanya makubwa. Utajitengenezea sana mafanikio kama wewe utaacha kutanga tanga na mawazo yako huku na kule.
2. Tafuta maarifa.
Kujitoa ni muhimu sana kwako ili kuweza kufanikiwa. Kujitoa huko hakuwezi kukufikisha mbali kama bado hutafuti maarifa ya kuweza kukusaidia katika hicho unachokifanya. Kuna makosa mengi sana ambayo utakuwa unayakwepa kama wewe utakuwa ni mtu wa kutafuta maarifa. Maarifa ukichanganya na kujitoa kwako, utafika mbali.