Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3171.JPG
 
Ukweli na uhalisia ambao naweza kukupa katika maisha ndio huo. Unajiwekea mikakati ya kushughulisha hata kama inatokea hali gani kwako, wewe jiweke bize hiyo ni dawa kubwa sana kwako ya kuweza kukufanya uweze kusonga mbele kwenye maisha yako.
 
Kuanzia sasa amua kujishughulisha sana kwenye mambo yako. Usikubali muda upite hivi. Kama utajishulisha kila wakati kwanza hiyo itakupa mafanikio, pia si hivyo tu inakusaidia kuweza kupata fursa na mafanikio mengine kwako.
Ndio maana tumekwambia pale unapoona maisha hayaeleweki, yamekuwa kama ya hovyo sana, ni jukumu lako kuwa bize ili usiweze kukaribisha msongo wa mawazo na mawazo yasiyo na maana kwako tena.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chenza la andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo sijui nimekunywa nn
Ndo raha ya uandaeitini na hizi mvua za hovyo hovyo... Wananyevua nyevuaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja akamu mwenyewe
 
Haya Ndiyo Mambo Makubwa Mawili, Ambayo Ni Lazima Ukutane Nayo Sana Kwenye Safari Ya Mafaniko Yako.
Katika safari yako ya mafanikio, yapo mambo makubwa mawili ambayo ni lazima ukutane nayo sana. Mambo haya kila binadamu anakutana nayo sana, hakuna mtu ambaye hakutani nayo hata kama hutaki mafanikio, utakutana nayo tu.
 
Back
Top Bottom