Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,104
- 9,116
Uko sahihi kabisaWapi ulipo, na wapi maisha yako yapo, hiyo haijalishi. Kikubwa tatua changamoto zinazokuzunguka na utaweza kufanikiwa. Huwezi kukwepa changamoto hata kidogo, changamoto za kimaisha zipo na ni lazzima ukutane nazo.