Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabao ya Spurs yakifungwa na kiungo wao raia wa Korea Kusini, Son Heung-min dakika ya (27 na 54).

Swansea nao wakiwa katika dimba la Liberty wamefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono wa mabao 4 – 1 dhidi ya West Ham.
 
Waliyoipatia ushindi timu hiyo ni mchezaji, Ashley Barnes dakika ya (56) na Chris Wood (80) akitokea benchi wakati bao la kufutia machozi la Everton likifungwa na Cenk Tosun (20) wakati mashabiki wa Toffee wakishudia beki wao Ashley Williams akitolewa nje kwa kadi nyekundu.
 
Kwa matokeo hayo Burnley inashika nafasi ya saba kwa kuwa na jumla ya alama 40 huku Everton ikiwa ya 11 kwa pointi zao 34.

Kikosi cha Burnley: Pope (7), Lowton (7), Tarkowski (7), Mee (6), Ward (6), Cork (6), Gudmundsson (6), Westwood (6), Lennon (7), Hendrick (6), Barnes (8).
 
Aliyekuwa benchi: Wood (7).

Kikosi cha Everton: Pickford (7), Keane (5), Williams (3), Martina (5), Coleman (6), Gueye (5), Sigurdsson (6), Davies (5), Calvert-Lewin (5), Walcott (5), Tosun (6).

Waliyokuwa benchi: Bolasie (5), Rooney (5), Niasse (5).

Mchezaji bora wa mchezo huo ni Ashley Barnes.
 
Maafisa wawili wa Burundi wamekamatwa na kushtakiwa baada ya timu yao kuhusika kumchezea rafu rais wa Burundu, Pierre Nkurunziza katika mchezo wa kirafiki aliyochezwa dhidi ya mkuu huyo wa nchi.
 
Mtu mmoja akieleza kwa sharti la kutotajwa jina amesema kuwa kiongozi wa timu ya Kiremb, Cyriaque Nkezabahizi na naibu wake ambaye alikuwa msimamizi wa mchezo huo, Michel Mutama wameshitakiwa kwa kosa hilo lililofanyika wakati rais Nkurunziza akiichezea timu yake ya Haleluya FC siku ya Alhamisi.
 
Wakazi wa mji huo wamekiambia chombo cha habari cha AFP kuwa, Cyriaque Nkezabahizi na mwenzake Michel Mutama waliwaingiza baadhi ya wachezaji ambao ni wakimbizi kutoka Congo wanaoishi katika kituo kimoja kilichopo eneo hilo.
 
Rais Nkurunzinza hupenda sana soka na hutumia nusu ya wiki kusafiri na timu yake ya Haleluya na kwaya yake iitwayo “Komeza gusenga”.
 
Dj Khaled wameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Top Off’. Katika ngoma hiyo Khaled amewashirikisha Jay Z, Future na Beyoncé
 
Back
Top Bottom