Nina miaka miwili sjaenda kusali
Msema kweli mpnz wa mungu
Ignore list haisaidii. Nikiyaweka manyoka utayaona tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najiandaa kulala mie,sijui nikuweke kwa isis (ignore list)kwa muda hahahha
Hahahah yego dada kito yuko wapi?naona shimba hana presha saiv full kunichokoza wakati ka yego kanaiba kisingizoo undugu hahahaIgnore list haisaidii. Nikiyaweka manyoka utayaona tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lala salama basi...
H
Hahahah yego dada kito yuko wapi?naona shimba hana presha saiv full kunichokoza wakati ka yego kanaiba kisingizoo undugu hahaha
Man's not hot [emoji154] [emoji154]
Mwee shimba shauriloooo ulimcheka cole zamu yako wu kunowiz obebe,ektra keafuliEmbu acha kumutia presha Shimba! Yego na Kitoo ni mtu na dadake! [emoji1]
Mwee shimba shauriloooo ulimcheka cole zamu yako wu kunowiz obebe,ektra keafuli
Hahahhaha hadi raha kuwapa joto joto andaeitin na muhenga shimba huku nikikaa pemben kushuhudia pambano moja matata kabisa hahaaha
Kumbe KaYego kameingia na gia ya u sis na vikao vya ukoo? Ngoja tuje tuone hiyo incest itakavyokuwa. Kamehangaika muda mrefu mno pengine hii gia ya undugu itakasaidia.H
Hahahah yego dada kito yuko wapi?naona shimba hana presha saiv full kunichokoza wakati ka yego kanaiba kisingizoo undugu hahaha
Watoto wa4 kwa mpigo duh! Aliyepiga hilo bao ni mwanaume wa shoka aisee. Naona alikamua mpaka bone marrow aisee...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Ofisa Tarafa wa Kibamba, wilayani Ubungo, Beatrice Mbawala amejifungua watoto wanne kwa mpigo katika Hospitali ya Agha Khan, jijini hapa.
Beatrice amejifungua watoto hao wakiwa njiti mwezi mmoja uliopita.
Akizungumza hospitalini hapo, leo Machi 3, baba wa watoto hao, Julius Mbawalla amesema familia yake ina furaha kupokea watoto wanne na kwamba jukumu lake kubwa ni kuhakikisha mkewe anapata huduma muhimu ili aweze kumudu kuwanyonyesha.
Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Agha Khan, Dk Mariam Mgonja amesema afya za watoto zimeimarika na tayari wameruhusiwa kwenda nyumbani.
Nimejaliwa kipaji kikubwa sana cha kuchagua vita vya kupigana na vita vya kuachia mambo yajiendeshe yenyewe. Kwa umbali niliotoka na Jakitoo na vita nilivyopigana kwa ajili yake, nimefika mahali sasa naweza kuacha mambo yakajisadifu yenyewe. jakitoo si wa kuchukuliwa na mwingine wakati na mimi nipo hapa ananiona. I am letting this one play itself out....Mwee shimba shauriloooo ulimcheka cole zamu yako wu kunowiz obebe,ektra keafuli
Hahahhaha hadi raha kuwapa joto joto andaeitin na muhenga shimba huku nikikaa pemben kushuhudia pambano moja matata kabisa hahaaha
I. N. C. E. S. T. [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Embu acha kumutia presha Shimba! Yego na Kitoo ni mtu na dadake! [emoji1]