Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na wewe unaogopa nyoka? Haya rudi ukaifute hiyo picha uliyoikwoti bwana. Tusije tukawakwaza watu. Yangu nimeifuta. Phobias are real. Watu wasije wakakimbia uzi wetu pendwa.Duuuhhhh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nawaogopa munoo + siwapendi woooiiiiNa wewe unaogopa nyoka? Haya rudi ukaifute hiyo picha uliyoikwoti bwana. Tusije tukawakwaza watu. Yangu nimeifuta. Phobias are real. Watu wasije wakakimbia uzi wetu pendwa.
Naona leo umekesha na kaYego. Kwema lakini? Niombee ukienda kanisani leo. Na kaYego ketu kaombee [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
05:59Mkuu, namna gani hapa, uko lindoni?
Ndio mkuu...kwema hukoMkuu, namna gani hapa, uko lindoni?