Kuna daladala zinakupeleka mpaka mlangoni huko maeneo ya bugando 400 yako tuHivi barabara ya kuelekea Bugando kupitia pale kanisani kumbe imefungwa? Sasa sijui nipitie njia gani? [emoji23][emoji23] Shimba anajua kama mimi ni Broo wa kitoo!
Hahahah yego banaHivi barabara ya kuelekea Bugando kupitia pale kanisani kumbe imefungwa? Sasa sijui nipitie njia gani? [emoji23][emoji23] Shimba anajua kama mimi ni Broo wa kitoo!
Wallah sijaiangalia mm napend sana indian drama na zile za kichwawi kama MerlinUnaipenda hii American Drama series ya “CHICAGO FIRE”?
Nimejaliwa kipaji kikubwa sana cha kuchagua vita vya kupigana na vita vya kuachia mambo yajiendeshe yenyewe. Kwa umbali niliotoka na Jakitoo na vita nilivyopigana kwa ajili yake, nimefika mahali sasa naweza kuacha mambo yakajisadifu yenyewe. jakitoo si wa kuchukuliwa na mwingine wakati na mimi nipo hapa ananiona. I am letting this one play itself out....
![]()
I love this girl [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji9][emoji11][emoji8][emoji11]
Kuna daladala zinakupeleka mpaka mlangoni huko maeneo ya bugando 400 yako tu
Hah
Hahahah yego bana
Hahahaha jaman,ni bahati tuWatoto wa4 kwa mpigo duh! Aliyepiga hilo bao ni mwanaume wa shoka aisee. Naona alikamua mpaka bone marrow aisee...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mia 400 nayo ya kutafuta mmh nani kasema mil 400Haya ngoja niitafute hiyo 400
Wallah sijaiangalia mm napend sana indian drama na zile za kichwawi kama Merlin
Mia 400 nayo ya kutafuta mmh nani kasema mil 400
VitukuuSasa na nyie ni watoto wa Adam na Eva?
Eti jama: Yego na 'Kitoo ni watoto wa Adam na Eva? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vyuma vimekaza hata 50 sikopeshiNitakuja unikopeshe hiyo 400
Vyuma vimekaza hata 50 sikopeshi