Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duuuhhhh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Na wewe unaogopa nyoka? Haya rudi ukaifute hiyo picha uliyoikwoti bwana. Tusije tukawakwaza watu. Yangu nimeifuta. Phobias are real. Watu wasije wakakimbia uzi wetu pendwa.

Naona leo umekesha na kaYego. Kwema lakini? Niombee ukienda kanisani leo. Na kaYego ketu kaombee [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nawaogopa munoo + siwapendi woooiiii

Kwema kabisa, Nitakuombea na Yego pia nitamuombea na watu wooote.
Uwahi kulala leo sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…