Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ona MUNGU alivyo mwema kwako na kwangu!

1:hutembei na Bodyguard... lakini hujadhurika.

2: Hutembei na daktari...
lakini u-mzima.

3: Umetenda dhambi.... lakini bado umesamehewa.

4: Umekuwa na majaribu mengi.... lakini umeyashinda.
Haya yote ni kwa sababu MUNGU wetu ni
"MLINZI, "TABIBU, "MTETEZI,
na mwenye HAKI kwetu".
 
7f6a1621dffc9db92126799ff070346a.jpg
Hahahaha
 
Ona MUNGU alivyo mwema kwako na kwangu!

1:hutembei na Bodyguard... lakini hujadhurika.

2: Hutembei na daktari...
lakini u-mzima.

3: Umetenda dhambi.... lakini bado umesamehewa.

4: Umekuwa na majaribu mengi.... lakini umeyashinda.
Haya yote ni kwa sababu MUNGU wetu ni
"MLINZI, "TABIBU, "MTETEZI,
na mwenye HAKI kwetu".
Mola atubariki kuzitambua baraka zetu!
 
Kitalu ni nini?
Kitalu ni mahali ambapo miche huoteshwa na kutunzwa kabla ya kupandikizwa Kwenye bustani au shambani Kwenye mashimo. Mavuno mazuri ya kilimo cha mboga na matunda utategemea sana matunzo bora ya miche kuanzia hatua ya kitalu kwa sababu kitalu ni sehemu mama katika uzalishaji wa miche. Mkulima anapaswa awe mwangalifu katika kuchagua mahali pazuri pa kuweka kitalu. Pamoja na kuwa mwangalifu katika kuchagua eneo linalofaa vile vile mkulima afahamu mbinu za kutayarisha na kutunza miche Kwenye kitalu.
 
Kuchagua eneo la kitalu
Mambo Muhimu ya Kuzingatia

Eneo la kitalu lisiwe na magugu sugu kama vile ndago na kwekwe.
Usianzishe kitalu kwenye sehemu yenye wadudu au magonjwa ama wanyama waharibifu kama vile panya, nyani, tumbili n.k.
 
Eneo la kitalu liwe na udongo wenye rutuba, unaohifadhi maji lakini usio tuwamisha maji na udongo usiwe na chumvi chumvi
Eneo la kitalu linatakiwa liwe tambarare, kama ni eneo la milimani, basi ni muhimu kutengeneza matuta ya kitalu kwa kufuata matuta ya mkingamo.
 
Eneo la kitalu liwe na urahisi wa kupata maji ya kutosha kwa ajili umwagiliaji wa miche. Pawe na kisima au bwawa kwa ajili ya kuhifadhi maji.
Eneo liwe na miti kando kando ya kukinga upepo ili kuzuia upepo mkali Kwenye kitalu.
Eneo la kitalu liwe na mwanga wa jua wa kutosha.
 
Utayarishaji wa kitalu cha mboga
Mambo muhimu ya kuzingatia

Fanya usafi wa kina kwenye eneo ulilolichagua kwa kuondoa vichaka na magugu yote.
Hakikisha upatikanaji wa maji kwa kuweka mifereji au njia za kuleta maji au kuhifadhi maji kwa kutengeneza kisima au mifereji.
 
Ni vizuri kutenga eneo maalumu kwa ajili ya kuhifadhi na kuchanganya mbolea.
Hakikisha umelima na kutifua kwa jembe eneo lililotengwa kuoteshea miche.
Usisahau Kuangamiza wadudu na magonjwa yatokanayo na udongo kabla ya kutayarisha matuta ya kitalu kwa kutumia madawa ya kunyunyiza katika udongo, kuchoma udongo au kufunika eneo la tuta la kitalu kwa kutumia plastiki inayopitisha mwanga kwa wiki mbili hadi nne ili kuua wadudu na minyoo udongoni.
 
Aina za matuta ya kitalu
Kuna aina tatu za matuta ya kitalu unayoweza kutengeneza kulingana na msimu na aina ya udongo wa mahali ulipo, tuta la kitalu lililo inuka (tuta n° 1) au tuta la kitalu lililo didimia au jaluba ( tuta n° 2) ama tuta lililo inuka lakini lililobonyea kidogo katikati (tuta n° 3).
 
1. Tuta lililoinuka na kubonyea katikati

Hili hutumika wakati wa kiangazi sehemu zenye udongo mzito aina ya mfinyanzi unaotuamisha maji ili husaidia kuhifadhi maji.
 
2. Tuta lililoinuka

Hili hutumika sehemu zenye unyevu na mvua nyingi au sehemu zenye udongo mzito aina ya mfinyanzi unaotuamisha maji ili kuruhusu maji kutawanyika na kwenda chini ya aridhi.
 
Kuna namna mbili za kupanda mbegu kwenye kitalu kama ifuatavyo.
1. Kupanda kwa kutawanya katika tuta.
Kupanda mbegu kwa kutawanya, hufanyika kwa mbegu ndogo ndogo sana kama za mchicha. Ambapo kwa kawaida inashauriwa kuchanganya mbegu hizi na mchanga (katika uwiano wa 1:4) kabla ya kupanda ili kusaidia kuwa na mtawanyiko mzuri wa mbegu katika tuta zima. Baada ya kupanda pitisha reki kuzifukia au mwaga mchanga kiasi juu ya tuta ili kuzifunika.
 
Back
Top Bottom