Mzigua naye kumbe jimama. Halafu jeupeee...Safi sana !!!
Indeed. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ona MUNGU alivyo mwema kwako na kwangu!
1:hutembei na Bodyguard... lakini hujadhurika.
2: Hutembei na daktari...
lakini u-mzima.
3: Umetenda dhambi.... lakini bado umesamehewa.
4: Umekuwa na majaribu mengi.... lakini umeyashinda.
Haya yote ni kwa sababu MUNGU wetu ni
"MLINZI, "TABIBU, "MTETEZI,
na mwenye HAKI kwetu".
Bahati yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vife vijitu vyenye tabia hii walahi!Homo Sapiens.....
Linatisha!Kazi kweli kweli wallahi !!!