Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila huyu watu wengi wana imani naye. Tusubiri tuone utendaji wake labda anaweza kuwa mmoja wa vioo vya Africa kwenye uongozi uliotukuka.

Ila viongozi wa Afrika bana. Ahadi kibao wakati wanaomba kura. Huyu naye muda wake utafika na utaambiwa hajafanya lolote. Anakuja mwingine naye hivyo hivyo. Maktaimu za miaka na miaka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…