myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:00
Hahahahaha hapo umekosea![]()
Isis
HahahahahaDemiss![]()
Wanaume tumezaliwa kuhangaikia mengi ikiwemo mbunye. Ni mateso kwa kwenda mbele [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hahahahahahaha lol! Hapo ya kitoto umezuga Mkuu! Eti ya kitoto kwi kwi kwi kwi!
YapKila mtu ana umuhimu wake
Halafu unalikuta jitu limetoa mishipa ya shingo "Ooooh hakuna Mungu kwa sababu hakuna ushahidi kuwa yupo". Shwaiini. Unataka ushahidi gani unaozidi huu?
Ona sasa....!!!
Radi unasema safi sana?Safi sana
Ajiunge na akina Kagame na marais wa Botswana? Na pengine dhalimu? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Ila huyu watu wengi wana imani naye. Tusubiri tuone utendaji wake labda anaweza kuwa mmoja wa vioo vya Africa kwenye uongozi uliotukuka.
Huu wala siyo uandishi wa habari tena. Kwenye boxing tunaita hitting below the belt...Na wanampa legitimacy sasa...Ujinga tu !!!Gazeti linatumika kumchafua Da Mange. Ficha ID yangu.
![]()
Unaona mbaliHuu wala siyo uandishi wa habari tena. Kwenye boxing tunaita hitting below the belt...Na wanampa legitimacy sasa...Ujinga tu !!!