mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Baba wa taifa
Baba wa taifa
Wapi kuna kazimoja mbili tatuuuu
haya wadau twende kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulijuajeMchina lazima tu atasema kuwa huyu ni KK...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ukaka huu, ni shida! Unanizibia riziki zote aisee! Well, nimekuota tunaibiwa; “tunameremeta” ile ya kitoto bana! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
21'3616:00
YapWeekend inaelekea ukingoni
Hahahahahahaha lol! Hapo ya kitoto umezuga Mkuu! Eti ya kitoto kwi kwi kwi kwi!
Likes za usikuLikes za mchana
Mungu ni mwema Siku zoteOna MUNGU alivyo mwema kwako na kwangu!
1:hutembei na Bodyguard... lakini hujadhurika.
2: Hutembei na daktari...
lakini u-mzima.
3: Umetenda dhambi.... lakini bado umesamehewa.
4: Umekuwa na majaribu mengi.... lakini umeyashinda.
Haya yote ni kwa sababu MUNGU wetu ni
"MLINZI, "TABIBU, "MTETEZI,
na mwenye HAKI kwetu".
Usiku wa shunguli....Likes za usiku