Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo mkuu. Kwema huko?Mkuu habari za jumapili
Nipo mkuu. Kwema huko?Mkuu habari za jumapili
Amun RaNa wote tuseme Ameeeeeeeen
Na leo tumepigwa tena?Wenger must go
Karopoka nini safari hii?Kigwangala
Foreva Living?Viva forever
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna butchery fulani hapa home naishuku inauzia watu nyama ya punda Nimeikula saa hii naskia tu kubebea watu mizigo.
Hahahah mkopo hakunaHahahahaha ati unasema[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaka yego gudnite. Uniote nimekua dada ako. Wachasuguuuu,wachamawe
Hi mzee wa liver,za jumapili nzuri kabisaHi Numbisa habari za Jumapili
Kipande kile chenye hisia chanya eeeh?Yaani tangu ujilipue na kipande cha jana kwa kitoo,naona sasa ni mwendo wa kuunga mkono maamuzi yako.
"Waacheni watoto wazuri waje kwangu" asema andjul...
Huu ukaka huu, ni shida! Unanizibia riziki zote aisee! Well, nimekuota tunaibiwa; “tunameremeta” ile ya kitoto bana! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Angekuwepo Mzee Rutta hapa tungekuwa tunalifuatilia laivu kupitia mapicha.Game la Manchester City na Chelsea linaendelea ila limepooza bado 1-0
I wish mtu Fulani RipKaratasi mpya nyeupe iko mbele yako.
Andika cho chote unachotaka...
Ona sasa !!!