BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mabata madogo madogo yanaogelea yanaogelea katika shamba zuri la bustani. Yanapenda kulia kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa. 🙂🙂🙂
[emoji4][emoji4][emoji4]Nlikuwa naufikiria huu wimbo since morning [emoji4][emoji4]
Nyoka BAK, Paka nawapenda sanaNiko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Viumbe gani? Paka!?
Mmfffff!!!!! Haki ya nani huko aliko ananishuhudia furaha iliyoje niliyo nayo leo.Hakika nimeinjoika kwa kweli.
MaybeMh! Coincidence!?
Burudani za usiku
Yaani tangu ujilipue na kipande cha jana kwa kitoo,naona sasa ni mwendo wa kuunga mkono maamuzi yako.Umeamua kujiripua?
Mwakaleli njoooo!
Mwanambuzi huyooo kasarenda Ushindwe mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]