mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Weekend inaishia
Mkuu habari za jumapiliNitafanya hivyo baby...
Ila sina raha sijui kwa nini....
KaYego kaombee kaondokane na pepo la kusumbua sumbua wapenzi wa watu....
Mvua nzuri sana huku nilipo inanyesha tangu asbh till nowSafi sana napenda sana sana mvua na nataka inyeshe 300 days a year walahi!
AMUN RAAsante MOTHER NATURE kwa mvua kubwa!
Iendelee tu bila kukoma!
Mambo Demi dom niajeHow can anyone NOT like mornings?? God gave you another day... Get up, give him your worries and enjoy the day
Poti tuma mamba ndio dawa yao[emoji41] [emoji41]Yaani haka ka-Yego kanaonewa humu, hatari! Kila siku lazima tu kazodolewe! [emoji23][emoji23]
Hi Numbisa habari za JumapiliKuna daladala zinakupeleka mpaka mlangoni huko maeneo ya bugando 400 yako tu
HahahahahaWallah sijaiangalia mm napend sana indian drama na zile za kichwawi kama Merlin
Uchwara....
Hahahahaha ati unasema[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vyuma vimekaza hata 50 sikopeshi
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hee huko dar si patageuka bahari