Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

600b811aacb3a8614c22cbfcd62de5a1.jpg
Smart nyau.
 
Tatizo moyo wake uko Real Madrid na kama sikosei July atakuwa free agent hivyo kuwa huru kwenda kokote kule. Ni lazima wampe pesa ndefu ili aridhie kubaki hivyo kumwaga wino haraka iwezekanavyo badala ya kumyeyusha yeyusha.

Sababu yupo kwenye himaya yao ndo maana wanamfanyia hivyo angekua ni mchezaj wa timu nyingine wangemsajili kwa dau la kuvunja rekodi
 
Back
Top Bottom