Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna butchery fulani hapa home naishuku inauzia watu nyama ya punda Nimeikula saa hii naskia tu kubebea watu mizigo.
Itasaidia sana na nina uhakika hayo mapicha sitayaona...
Ignore list haitakusaidia...
Mapicha nikiyaweka utayaona tu...
Kipande cha papa kile cha hela 10[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445][emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]![]()
Unatafuta tu sababu ya kunitia kwenye ignore list wewe....Itasaidia sana na nina uhakika hayo mapicha sitayaona...
Hebu tujaribu kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Nakusalim dada
Hali ngumuDuuu, wewe ni chiboko!
Teh[emoji23][emoji23][emoji23]
Unatafuta tu sababu ya kunitia kwenye ignore list wewe....
Nitie tu hakuna neno.
Nina uzoefu nitapambana mpaka unitoe....
Ikishindikana basi....
Pamela Mbrazili huyu ni mzuri sana...Kipande cha papa kile cha hela 10[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Leo shimba mpoooleeeeeUnatafuta tu sababu ya kunitia kwenye ignore list wewe....
Nitie tu hakuna neno.
Nina uzoefu nitapambana mpaka unitoe....
Ikishindikana basi....
Umefurahi eeeeeeh?Teh[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafanya wax(ing) nafikiri...
Pamela Mbrazili huyu ni mzuri sana...
Halafu sijui huwa wananyoaje hawa......
Wasafi sana !!!
Ndiyo,kwa jinsi ulivyoandika kiuwoga na kiupole...
Umefurahi eeeeeeh?
Sina raha sijui kwa nini...L
Leo shimba mpoooleeeee
Umejulia wapi?Wanafanya wax(ing) nafikiri...
Kwa hiyo unafurahi nikiwa mwoga na mpole?Ndiyo,kwa jinsi ulivyoandika kiuwoga na kiupole...
Kwendaaaaaaaa[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Hahahha jamanKwa hiyo wanyanduane wakati ni mtu na dadake?
Makubwaaaaa !!!
Njoo nikubembeleze pulizi
Sina raha sijui kwa nini...
Na nyinyi wapendwa niwategemeao kuni-cheer up mara mnipayukie "kalaleeeee !!!"; mara mnitishe kunitia kwenye ignore list. Hovyo kabisa leo...Ngoja mi nikakumbatie mito nilale angalau...Aaaaaargh !!!