Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu. Unajulikana kwa chuki na kuporomosha matusi hapa JF. Pole kwa mtakatifu wewe kupita mitaa hii mida ya wanga. Yaani mpaka unataka kulia kisa umeona picha ya msambwanda? Mbona usipotezee tu na kwenda zako? Kuna mangapi hapa duniani ambayo hayakupendezi? Yote huwa unayakoromea?Astaghafirurah..kwaiyo hii ndio kazi mnayo fanya huku??
Yaani mnakesha mnaonyeshana uchafu kama huu???
Aisee nikuulize we BUNYENZE yaani ndio maisha uliyochagua haya ya kugoogle 'utupu' na kupost??
Najiuliza unapata wapi muda wa kugoogle, kuchagua kisha kudownload na kupost picha ambazo ni aibu ata watu kujua unazo lakini ww unazianika kabisa hadharani??
huu uzi si kuna wanawake wanachangia apa..yule MUMBISA na wenzake..??kwaiyo kumbe hiki ndio mnafanyaga huku?? duh Mungu awasaidie sana aisee
Yaani ni Kama Mungu ameniambia niufungue leo..duh mmenihuzunisha sana mpaka machozi yanataka kutoka asee!!
Kwaiyo mmefanya hili ni chaka la ufuska kias hiki..hizo picha mnarushiana na wanawake wanapita wana weka 'like' kwenye picha ya 'makalio' ya mwanamke mwenzao..duh sikutegemea kabisa
Nilisikia eti huwa kuna post za ilimu mbalimbali kumbe ni RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH!!!!!
Hili suala hata hivyo ni rahisi tu. Nenda ukaishi maisha yako uliyojichagulia. Huna mamlaka yo yote ya kumuamria mtu mwingine ye yote kuishi unavyotaka wewe kwa namna yo yote ile labda tu mkeo na watoto wako (japo hata hao nao watakutii kwa shingo upande na hofu). Ni nani aliyekupa wewe moral authority ya kuwekea wengine mikatale ya kihafidhina hapa JF au kwingineko mtandaoni? Yaani unagomba kabisa utafikiri hapo ulipo una utakatifu wo wote na mamlaka ya kuamru watu. Pole sana !!!