Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

fd41de8ea6ac2b454fb8f9737e1aee2f.jpg
 
black-panther1.jpg


Disney
UPDATE, writethru: Disney/Marvel’s Black Panther is about to cross $900M at the worldwide box office. With a 3rd leading domestic weekend, and as overseas turnstiles tip towards $400M, the Wakanda wonder has grossed an estimated $897.7M globally through Sunday. The breakdown is $501.1M in North America and $396.6M at the international box office.
Hii muvi imeandika historia kwa kweli. Na ukizingatia kuwa ni wakati wa Trump, it is remarkable indeed !!!
 
[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji42][emoji25][emoji25]
 
Astaghafirurah..kwaiyo hii ndio kazi mnayo fanya huku??

Yaani mnakesha mnaonyeshana uchafu kama huu???

Aisee nikuulize we BUNYENZE yaani ndio maisha uliyochagua haya ya kugoogle 'utupu' na kupost??

Najiuliza unapata wapi muda wa kugoogle, kuchagua kisha kudownload na kupost picha ambazo ni aibu ata watu kujua unazo lakini ww unazianika kabisa hadharani??

huu uzi si kuna wanawake wanachangia apa..yule MUMBISA na wenzake..??kwaiyo kumbe hiki ndio mnafanyaga huku?? duh Mungu awasaidie sana aisee

Yaani ni Kama Mungu ameniambia niufungue leo..duh mmenihuzunisha sana mpaka machozi yanataka kutoka asee!!

Kwaiyo mmefanya hili ni chaka la ufuska kias hiki..hizo picha mnarushiana na wanawake wanapita wana weka 'like' kwenye picha ya 'makalio' ya mwanamke mwenzao..duh sikutegemea kabisa

Nilisikia eti huwa kuna post za ilimu mbalimbali kumbe ni RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH!!!!!
Kaaazi kweli kweli
 
Unajua nimesoma jibu lako mara mbili mbili na bado sijaamini kabisa

kuwa pamoja na kukuonyesha hiki unachokofanya ni kinyume na ustaarabu wa kiungwana, lakini umeenda mbali zaidi kwa kutetea uchafu huo

hakuna anaempangia mtu cha kufanya hapa..ila nikuulize tu ivi unaakili timamu we mtoto??

Emu tuwe wakweli wa nafsi zetu just once and put pride aside,

ni sahihi kwa wewe kuposti picha chafu halafu unasubiri dada zako waamke asubuhi waje waweke like kwenye picha ya udhalilishaj ya mwanamke mwenzao????

BUNYENZE ninaamini kwa utu uzima wangu wa miaka 53 sasa ivi wewe ni kama mwanangu na hivyo nina haki kabisa kama mzazi kurekebisha/kunyoosha pale ninapoona umekongoka kimaadili.

Badirika kijana na uchukue nafas ya KUFUTA uchafu wote huo usiku huu

Mkiambiwa ukweli kwa nia ya kusaidiwa ili muwe mifano mizuri kwenye jamii mnasema tunawaonea wivu/chuki..kweli ndio mmefikia hatua iyo ya dharau??

nimetumia lugha ya 'upole' na ustaarabu na tumai vyema utanisikiliza mwanangu.
Wenye masikio!
 
Usiishi kwa kukariri hasa linapokuja swala la attitude ya The List

na ninajua lugha ile ndiyo huwa mnaielewa empty set wewe.

Ila nimepata huruma sana kiasi kwamba mpaka sasa bado siamini kama hiki ndio huwa mnafanya humu na ningewaelewa kama mngekuwa vijana wa kiume tu labda ingekuwa justified kuwa ndio changamoto ya kubarehe

LAKINI NA WANAWEKA WANAPITA WANA WEKA LIKE KWENYE HIYO UNAITA MSAMBWANDA SIDHANI KAMA KUNA LOGICAL EXPLANATION ZAIDI YA EMPTY SETS

nakupa pole, pia ndugu zako wa karibu ambao wanategemea na kujisemea 'tuna kijana atatusaidia mbeleni' maana wangelijua kijana una kesha, kuchagua kisha kudownload 'misambwanda' ambayo inawekewa 'like' na wanawake basi wangelia sana

RUBBISH RUBBISH RUBBISH
Tumekusikia ndugu yangu!
Asante sana!
 
Back
Top Bottom