Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

52EEF2E1-A167-4D12-B41C-59CF6956FC6D.jpeg
 
Finally someone with brain shows up

-Wewe ISIS emu nisaidie kuelewa kidogo maana bado napata tabu kufuta taswira ya 'najsi" niliyoshuhudia.

-Lakini pia bado napambana kukataa kuamini kuwa hichi ndio huwa mnafanya kila siku..najilazimisha kabisa mpaka machozi yanataka kutoka kukataa lakini facts za picha hizo zinasema mengine.

-yeye huyo BUNYEZE anatetea kua ndio desturi yenu kila siku..yaani yeye anakesha usiku AKIAANGALIA, KUCHAGUA KISHA KUDOWNLOAD MISAMBWANDA halafu nyie dada zake mnapita asubuhi naku TIZAMA, KUCHAMBUA kisha MNA LIKE MISAMBWANDA ya wanawake wenzenu????

-Hii dhambi sidhani kama mnaielewa..hivi utakuwaje na siku njema yenye fanaka kama jambo la kwamza linalokuja unapo amka NI KUANGALIA, KUCHAMBUA KISHA KU LIKE HUO UNAOITWA MSAMBAMDA???
Sio kweli kwamba sisi wanawake ambao tunaupenda huu uzi huwa tuna like hizo picha na pia siwezi kuwapangia watu cha kupost kwenye huu uzi!
Lakini ume leta point ambayo anaetaka kusikia atafuata asiyetaka ndiyo hivyo tena!
Uwe na siku njema ndugu yangu!
 
Usiishi kwa kukariri hasa linapokuja swala la attitude ya The List

na ninajua lugha ile ndiyo huwa mnaielewa empty set wewe.

Ila nimepata huruma sana kiasi kwamba mpaka sasa bado siamini kama hiki ndio huwa mnafanya humu na ningewaelewa kama mngekuwa vijana wa kiume tu labda ingekuwa justified kuwa ndio changamoto ya kubarehe

LAKINI NA WANAWEKA WANAPITA WANA WEKA LIKE KWENYE HIYO UNAITA MSAMBWANDA SIDHANI KAMA KUNA LOGICAL EXPLANATION ZAIDI YA EMPTY SETS

nakupa pole, pia ndugu zako wa karibu ambao wanategemea na kujisemea 'tuna kijana atatusaidia mbeleni' maana wangelijua kijana una kesha, kuchagua kisha kudownload 'misambwanda' ambayo inawekewa 'like' na wanawake basi wangelia sana

RUBBISH RUBBISH RUBBISH
JF kuna majukwaa mengi..waachie wa jukwaa hili na mambo yao. kuna maeneo ya wenye akili na busara unaweza kuchangia...
 
Mkuu. Unajulikana kwa chuki na kuporomosha matusi hapa JF. Pole kwa mtakatifu wewe kupita mitaa hii mida ya wanga. Yaani mpaka unataka kulia kisa umeona picha ya msambwanda? Mbona usipotezee tu na kwenda zako? Kuna mangapi hapa duniani ambayo hayakupendezi? Yote huwa unayakoromea?

Hili suala hata hivyo ni rahisi tu. Nenda ukaishi maisha yako uliyojichagulia. Huna mamlaka yo yote ya kumuamria mtu mwingine ye yote kuishi unavyotaka wewe kwa namna yo yote ile labda tu mkeo na watoto wako (japo hata hao nao watakutii kwa shingo upande na hofu). Ni nani aliyekupa wewe moral authority ya kuwekea wengine mikatale ya kihafidhina hapa JF au kwingineko mtandaoni? Yaani unagomba kabisa utafikiri hapo ulipo una utakatifu wo wote na mamlaka ya kuamru watu. Pole sana !!!
akachangie kwa wenye akili...kila mtu ana uhuru wa kuchagua jukwaa lipi achangie au afungue....
 
Back
Top Bottom