Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu. Unajulikana kwa chuki na kuporomosha matusi hapa JF. Pole kwa mtakatifu wewe kupita mitaa hii mida ya wanga. Yaani mpaka unataka kulia kisa umeona picha ya msambwanda? Mbona usipotezee tu na kwenda zako? Kuna mangapi hapa duniani ambayo hayakupendezi? Yote huwa unayakoromea?Astaghafirurah..kwaiyo hii ndio kazi mnayo fanya huku??
Yaani mnakesha mnaonyeshana uchafu kama huu???
Aisee nikuulize we BUNYENZE yaani ndio maisha uliyochagua haya ya kugoogle 'utupu' na kupost??
Najiuliza unapata wapi muda wa kugoogle, kuchagua kisha kudownload na kupost picha ambazo ni aibu ata watu kujua unazo lakini ww unazianika kabisa hadharani??
huu uzi si kuna wanawake wanachangia apa..yule MUMBISA na wenzake..??kwaiyo kumbe hiki ndio mnafanyaga huku?? duh Mungu awasaidie sana aisee
Yaani ni Kama Mungu ameniambia niufungue leo..duh mmenihuzunisha sana mpaka machozi yanataka kutoka asee!!
Kwaiyo mmefanya hili ni chaka la ufuska kias hiki..hizo picha mnarushiana na wanawake wanapita wana weka 'like' kwenye picha ya 'makalio' ya mwanamke mwenzao..duh sikutegemea kabisa
Nilisikia eti huwa kuna post za ilimu mbalimbali kumbe ni RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH RUBBISH!!!!!
Unajua nimesoma jibu lako mara mbili mbili na bado sijaamini kabisa
kuwa pamoja na kukuonyesha hiki unachokofanya ni kinyumbe na ustaarabu wa kiungwana, lakini umeenda mbali zaidi kwa kutetea uchafu huo
hakuna anaempangia mtu cha kufanya hapa..ila nikuulize tu ivi unaakili timamu we mtoto??
Emu tuwe wakweli wa nafsi zetu just once and put pride aside,
ni sahihi kwa wewe kuposti picha chafu halafu unasubiri dada zako waamke asubuhi waje waweke like kwenye picha ya udhalilishaj ya mwanamke mwenzao????
BUNYENZE ninaamini kwa utu uzima wangu wa miaka 53 sasa ivi wewe ni kama mwanangu na hivyo nina haki kabisa kama mzazi kurekebisha/kunyoosha pale ninapoona umekongoka kimaadili.
Badirika kijana na uchukue nafas ya KUFUTA uchafu wote huo usiku huu
nimetumia lugha ya upole na ustaarabu na tumai vyema utanisikiliza mwanangu.