ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Forex
Hilo nalo nenoWanawake msiringe sana kuna siku baba yako atakubadilisha na ng'ombe
Sijui alikuwa na ukame wa aina gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Cocochanel big up Sana ulikesha peke yako naona post ya 40 mfulilizo ni zako
HahahahahaHii vita haita muacha mtu salama[emoji3] [emoji3]
Wacha nikupe likes
Hahaaa naweza kisia umri wako
Wewe jamaa mbona mkali kwa ISIS, humu ni jokes tu na mambo ya hapa na pale ili watu tupost chochote thread iende. Sikuwa na nia mbaya kusema vile, ni kama jokes tu.Huelewi maana yake. Uliza ueleweshwe!
TOA LIKES POKEA LIKESNimemis haya malaiki
Sawa mkuu, mnisamehe sana. Mimi nilidhani nimeandika kama jokes tu ila kwenu imekuwa ni tofauti, samahani sana.Dogo naona Anakuja vibaya mwambie atulie
YapNaona watu mnapeana LIKES tu
True indeed60k loading....