Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe jamaa mbona mkali kwa ISIS, humu ni jokes tu na mambo ya hapa na pale ili watu tupost chochote thread iende. Sikuwa na nia mbaya kusema vile, ni kama jokes tu.

Samahani kwa kuwakwaza.
Usikwazike mkuu. Najua ni utani ndiyo maana pale chini nami nimekutania. Relax mkuu na samahani kama nilikukwaza pia. Likes please!!!
 
Mbuzi kafia kwa muuza supu!!!
3e42828ba21754c6e8353117174d762e.jpg
 
Back
Top Bottom