Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usikwazike mkuu. Najua ni utani ndiyo maana pale chini nami nimekutania. Relax mkuu na samahani kama nilikukwaza pia. Likes please!!!Wewe jamaa mbona mkali kwa ISIS, humu ni jokes tu na mambo ya hapa na pale ili watu tupost chochote thread iende. Sikuwa na nia mbaya kusema vile, ni kama jokes tu.
Samahani kwa kuwakwaza.
Acha kuomba samahani na usiwe sensitive sana mkuu. Kila mtu anajua kuwa ni utani tu. Relax bwana...Sawa mkuu, mnisamehe sana. Mimi nilidhani nimeandika kama jokes tu ila kwenu imekuwa ni tofauti, samahani sana.
Sawa Mkuu, pamoja.Usikwazike mkuu. Najua ni utani ndiyo maana pale chini nami nimekutania. Relax mkuu na samahani kama nilikukwaza pia. Likes please!!!
Hello Carb my one and only ..[emoji15] [emoji15] kivipi
Wape vidonge vyaoHeshima kidogo mkuu. ISIS ni dadangu. Na harubuniki wala kuzuzuka hata kama ungekuwa na pesa zaidi ya Bill Gates. Kamata likes lakini kwa heshima!
Duuh!!huu Uzi nimeupenda
Toa like kwanza ,tukuitikie salamu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hello
Hakuna vidonge bana ni utani tu!Wape vidonge vyao
TOA LIKES POKEA LIKES!Hello
Mkurunga Kibiti Rufiji mauwaji kwenda mbele huko we need to do something kuwasaidia ndugu zetu huku naona serikali imefail kwenye hiliMkiru ndo nini?