cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Hapana sio yangu Mkuu....El Magnifico nimeisemea kwa context nyingine sio in connection with multiple IDs.Kumbe ile ID ya El Magnifico ni yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Masuala ya kumlove ISIS yaache kula like yakoSawa shabiki nguli wa Liver [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toa likes kama ishara ya kuukubali uzi wetu.
Toa like kwanza ,tukuitikie salamu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu napenda hiyo kitu Nina mtaji wa kutosha sijui nafanyaje nilifungua demo account lakini nimeshindwa kui operateForex
Watu wote humu kwenye huu uzi nawaloga yaani nawageuza mabata mzinga wote
Kula likes kwanza huku ni likes onlyWewe jamaa mbona mkali kwa ISIS, humu ni jokes tu na mambo ya hapa na pale ili watu tupost chochote thread iende. Sikuwa na nia mbaya kusema vile, ni kama jokes tu.
Samahani kwa kuwakwaza.
Na mimi nafikiria ipo siku nitakuja kuingia huko.Mkuu napenda hiyo kitu Nina mtaji wa kutosha sijui nafanyaje nilifungua demo account lakini nimeshindwa kui operate