Sawa sis. Hata tornadoes ni nzuri. Hapo juu nilikuwa narejelea uwili kinzani uliotamalaki katika maumbile.Be positive to both!
Mdomo unaumba!
Heri kuwa kama Yabesi kwenye Biblia Takatifu ‘
Au google Jabes Prayer!
Alikataa katu kuitwa laana!
Believe me it’s beautiful prayer
Shimba! Nyoka ni alama ya uponyaji, hata Nabii Musa alimpandisha Nyoka mtini kule Nyikani!The list bana...
Mjadala wangu na wewe nadhani niliufunga jana mkuu. Nikukomoe wewe nakujua? Wewe ni nani kwangu au katika dunia hii? Are you that important? Empty set likely ni wewe mkuu ambaye unakesha kufuatilia watu usiowajua wanafanya nini mtandaoni utafikiri unawalisha. Hata nikiwa sina kazi na hii pengine ndiyo kazi niliyochagua maishani mwangu, we kinakuuma nini?
Siyo lazima uangalie wala kulike picha hizi mkuu. Kuna majoka hapo juu na mizimu like hiyo. Unapoteza muda wako bure and I don't care !!!
Tangu ujanani. Makini. Sharp. No nonsense. Mzalendo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]