Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Let's just ignore this. Huyu ni mtu anayejulikana kwa matusi hapa JF. Tumeshaona wangapi mabingwa wa kutukana hapa JF? Watu wengine ndivyo walivyo. They thrive on negativity...
 
 
 
Woyoooooooooo moja kati ya watu wasiokubali upupu ni mie ushaingia anga mbaya wait and watch muzee 53 years pouleeeeeeeee

Naona unatupa mkasa wako wa kuchimbuliwa na koleo enheeee tell us a tale what happened jaman james delicious kwa hio wanakutafuna kwa umma na kisu
 
 
Aaaghrrr nshakula tunda moja gizan hadi wa leo silagi hilo tunda wacha tu usiulize nilifakamia nini hahahaha
Watakuwa ni funza tu hao...

Ila kuna watu wana roho mbaya sana. Huyo jamaa wa chokleti zilizoisha muda wake amekamatwa huko Kenya. Jamaa kaleta shehena nzima zimeshaeksipaya na zimeoza kabisa.

Na ndiyo hawa wanaouza mpaka ARV feki kisa tu wapate pesa....
 
Yes boss nshamaliza,akijibu atakua anajiongelesha mwenyewe
Afadhali ....
Mida ya kulala ishafika. Ngoja leo nisisubiri kufukuzwa (japo hata wafukuzaji sijui kama kweli wapo). Wapendwa; tusemeshane tena baada ya masaa sita au saba hivi Muumba wetu Akipenda [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…