Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

15e99446973fb53daa9a9730f164f00e.jpg
 
GOOD NEWS - Rais Dkt @MagufuliJP ameagiza kuendelea kwa ujenzi wa Msikiti wa Istiqaama Community katika Manispaa ya Sumbawanga, Rukwa uliokuwa umewekewa pingamizi la kujengwa kutokana na kukiukwa kwa taratibu za ujenzi. Rais asema uamuzi huo umezingatia kujenga amani & utulivu katika jamii.
 
*Breaking News: Mange kimambi akamatwa*

Mwanadada mahiri na machachari kweli kweli mwanaharakati Mange kimambi ambaye anaishi Marekani amekamatwa Jana Usiku saa za Africa Mashariki akifanya usafi ndani ya Nyumba yake Mange kimambi ambaye Ni mtanzania mzalendo Anayeishi nje amekua akifanya usafi Mara kwa Mara katika Nyumba yake hiyo Kubwa yenye vyumba 12 ila kuna Nyumba yake ndogo ambayo hutumia kwaajili ya kusomea vitabu mbalimbali vihusuvyo sheria

Sasa Jana aliamua kuifanyia Nyumba hiyo ndogo usafi ambapo alikamatwa mkono na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 6 hivi mtoto huyo alimpeleka mama yake moja kwa moja mpaka Chumba kikubwa Ile kufungua tuu mlango yalitoka Maputo Makubwa mazuri yenye rangi tofauti za kupendeza kama ukawaaa...
Nilianza kufurah hapo juu aaahhaaaa
 
AJALI YA MOTO DAR : Moto umezuka katika soko la Mbagala Rangi Tatu alfajiri ya leo. Juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea - Inadaiwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme na sehemu iliyoathirika zaidi ni ya Wauza Mitumba - Mpaka sasa hakuna taarifa ya majehuri wala kifo kutokana na ajali hiyo ya moto - Ikumbukwe Februari 6, 2018 Moto ulizuka katika maduka yaliyopo Mbagala Rangi Tatu, Kona ya kuelekea Charambe
 
GOOD NEWS - Rick Ross yuko poa Baada ya kupata mshtuko wa moyo na kukimbizwa hospital weekend iliyoisha. -------------- Hatimaye msanii huyo ameruhusiwa kutoka hospital baada ya kuwa chini uangalizi wa madaktari kwa muda wa siku 4. ------------- Siku ya Jumamosi iliyopita msanii huyo alipata shida ya kiafya, baada ya kupoteza fahamu gafla na hivyo kukimbizwa hospital kwa matibabu. ------------ Siku ya jana kupitia akaunti yake ya instagram alipost picha ya vitu mbalimbali vya thamani kwenye mkono wake huku akiambatanisha na ujumbe uliosomeka [HASHTAG]#FloridaBoy[/HASHTAG] ikiwa ni eneo ambalo star huyo alizaliwa.
 
Jose Mourinho atakuwa miongoni mwa wachambuzi wa soka watakaofanya kazi na kituo cha Russia Today wakati michuano ya kombe la dunia itakapokuwa ikichezwa nchini Russia. Jose atafanya kazi kwa siku 4 tu RT na malipo yake yatakuwa £1.6m au £400,000 kwa kila siku - kwa maana hiyo ndani ya siku 4 atakazofanya kazi Jose ataondoka na kiasi cha shilingi billioni 4,987,627,312.
 
Siri imefichuka kuwa hali ndani ya klabu ya Arsenal sio shwari baada ya baadhi ya wachezaji nyota kunyoosheana kidole.

Kiungo anayelipwa mshahara mnono kuliko wote Mesut Ozil, Henrikh Mkhitaryan na Shkodran Mustafi wameongoza vita ya maneno ndani ya vyumba vya kuvalia nguo kwa kila mmoja kumlaumu mwenzake.

Mustafi aliwekwa kiti moto na wachezaji wenzake akidaiwa amekuwa na tabia ya kuwalaumu uwanjani wakati wa mchezo na ndani ya vyumba vya kuvalia nguo.

Pia, Hector Bellerin amefura baada ya jina lake kuondolewa katika orodha ya wachezaji waliotakiwa kuanza katika mchezo huo saa mbili kabla ya mpira kuanza. Bellerin alimtolea meneno makali kocha wake Arsene Wenger.

Baadhi ya wachezaji nguli wa zamani wa timu hiyo Ian Wright, David Seaman na Sol Campbell wameshtushwa na mwenendo mbaya wa Arsenal msimu huu.

Wenger amekuwa akishutumiwa kila kona akidaiwa ndiye chanzo cha timu hiyo kuboronga, lakini amewajibu akidai hatang’oka kwa kuwa anaheshimu mkataba wake.
 
Serena Williams: Statistics on deaths in pregnancy or childbirth 'heartbreaking'
_90900492_fuller200bw.jpg

By Russell Fuller

BBC tennis correspondent

  • 3 hours ago
  • From the sectionTennis
_100292952_williams_getty1.jpg

Williams competed at the Tiebreak Tens event at New York's Madison Square Garden
It is "heartbreaking" black women in the United States are more likely than white women to die from complications in pregnancy or childbirth, says tennis great Serena Williams.

The 23-time Grand Slam singles winner is returning to the WTA Tour six months after she "almost died" giving birth.

Williams, 36, suffered a pulmonary embolism after her first child was delivered by Caesarean section.

The American says it may be time for women to "to get feisty and stand up".

According to the Centers for Disease Control and Prevention, black women in the United States are more than three times as likely as white women to die during pregnancy or childbirth.

"Doctors aren't listening to us, just to be quite frank," Williams told the BBC as she competed in the Tiebreak Tens event in New York.

"It may be time for women to be comfortable with having uncomfortable conversations.

"I was in a really fortunate situation where I know my body well, and I am who I am, and I told the doctor: 'I don't feel right, something's wrong.' She immediately listened.

"She was great. I had a wonderful, wonderful doctor. Unfortunately a lot of African Americans and black people don't have the same experience that I've had.

"Also there are some things we are genetically pre-disposed to that some people aren't. So knowing that going in, or some doctors not caring as much for us, is heartbreaking.

"Because of what I went through, it would be really difficult if I didn't have the healthcare that I have - and to imagine all the other women that do go through that without the same healthcare, without the same response, it's upsetting."

Williams played in the doubles in the USA's Fed Cup tie against the Netherlands last month - with her daughter in the crowd
Williams was acutely aware of the danger she was in after giving birth, as she had previously suffered a pulmonary embolism in 2011. But does she put this disparity in mortality rates down to prejudice, or to a lack of access to healthcare?

"I don't know," she said. "I think there's a lot of pre-judging absolutely that definitely goes on. And it needs to be addressed."

In recent years, as the pre-eminent sportswoman of her generation and one of the world's most influential figures, Williams has begun to speak more freely about issues which concern her.

Whether it is to address a lack of diversity, the gender pay gap or sexual harassment, she argues it is time to have "conversations that really in 2018 we shouldn't have to have".

"I can't say that's it not time to get feisty. I think maybe it is," the former world number one said.

"You have to stand up and, I heard someone say, have conversations that aren't comfortable. Be comfortable with having uncomfortable conversations like we deserve to be paid what a guy does; we deserve to be treated fairly, the same way.

"I think it's important to speak up loud and clear and say: 'No, this isn't right. Treat me the same way that you're treating...' How am I going to explain to my son that he is getting more? How am I going to explain to my daughter that she is getting less than my son? To me it's impossible to explain this."

An athlete's path through pregnancy

The Serena Williams Fund aims to try to bring about equality through education. Williams has helped build three schools: two in Kenya, and one in Jamaica. Having "literally put nails in the school" in Jamaica, Williams says she faced more of a political challenge in Kenya.

"We had to fight really hard for equal education rights," she said.

"We ended up on 60%-40% either way, because usually they send only boys to school in this area. And we were really excited with that because usually if there's 10 kids, there would be like nine boys to one girl."

In conjunction with her sister Venus, Serena has also developed an organisation to help the victims of what she describes as "senseless violence". Their half-sister, Yetunde Price, was shot dead in Compton in California in 2003.

The goal is to help people deal with traumatic and sudden loss, but does Williams also feel she can bring any influence to bear on the gun law debate in the United States?

"Oh, I wish. We're trying, everyone's trying," she says.

"We've got teenagers speaking up on it now, so that's really been great. We keep raising awareness, we keep raising money: obviously it's affected me personally, so it's been really really trying.

"A lot of my partners donate to our centre to raise awareness in terms of helping these people after the fact, because you go though something so traumatic and you have no place to go."
 
Mabaki ya manowari ya Marekani ambayo ilizamishwa wakati wa vita vya pili vya dunia yamegunduliwa nje ya pwani ya Australia.
Manowari ya USS Lexington iligunduliwa umbali wa kilomita 3 chini ya bahari karibu kilomita 800 kutoka pwani ya Australia.
Manowari hiyo ilikuwa ilitoweka wakati wa vita vya Coral Sea, kati ya tarehe 4-8 Mei mwaka 1942. Zaidi ya wanajeshi 200 waliuawa wakati wa kuzama kwa meli hiyo.
 
Jeshi la wanamaji la Marekani lilithibitisha kuwa meli hiyo ilikuwa imegunduliwa na kundi la kutafuta, linaloongozwa na mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Microsoft Paul Allen.
Picha zilionyeha mabaki ya meli hiyo yakiwa bado katika hali nzuri.
 
Tangazo la kugunduliwa meli hiyo na ndege 11 kati ya 35 ilizokuwa imebeba, lilitolewa na kampuni ya Bw Allen ya Vulcan siku ya Jumapili
Adm Harry Harris, mkuu wa kikosi cha jeshi la Marekani huko Pacific alisifu ugunduzi huo.
 
Vita vya Coral Sea vinatajwa kama hatua kubwa ya kuizuia Japan kuwa na ushawishi huko Pacific wakati wa vita.
Jeshi la Marekani lilisema kuwa wanajeshi 216 waliuawa wakati meli hiyo ilishambuliwa. Zaidi wa wengine 2,000 waliokolewa.
 
Back
Top Bottom