Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nge hakuna kitu. Aliwahi kunitandika mkubwa kabisa mweupe tumboni nakwenda shule nikavuka feri ya kamanga naugulia maumivu kufika huko mbele maumivu kwisha. Ila kesho yake nikashangaa nilipojimwagia maji ya baridi maumivu yakaanza upya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nge alinikosakosa nikawahi mtanguliza ahera
 
Hahahhaah,nimemuwekea tuwili hapa akakimbia kimoja
Jamani, tusifokasi kwenye phobia bana. Tujadilini hata uchawi wa mamba huko Nansio unavyofanya kazi. Mamende ya nini jamani?

Watu huwa wananiulizaga "Mbona we ghetto lako safi namna hii 24/7?". Hasa mademu huwa wanavutiwa sana kumbe hawajui mi napambana kuzuia kokorochi infesitesheni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…