Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa aina ya nyoka wafuatao, funga eneo la jeraha na kukaza:

Nyoka waishio kwenye mawe na matumbawe(coral snakes)
Hongo (mamba)
Nyoka wengi wenye asili ya Amerika ya Kusini
Nyoka wa kwenye maji (sea snakes)
Aina nyingi za Kobra – zenye sumu zinazoathiri mwili mzima.
 
Funga kwa kukaza — kusimamisha sumu kusambaa, lakini siyo kukaza sana ambako kunaweza kuzuia damu kutembea.Jaribu kuhisi mapigo ya moyo chini ya bandeji uliyofunga juu ya sehemu ya jeraha.
 
Aina nyingi za nyoka wenye sumu kali wakiwemo viper na baadhi ya Kobra hudhuru tu mahali wanapouma lakini hawasababishi matatizo kwenye mwili mzima. Kwa nyoka hao, usifunge na kufunika jeraha.
 
Kwa nyoka wengi wenye sumu, kuna dawa ambazo zinaweza kusaidia kudhibiti sumu. Kama utapata msaada wa kitabibu, elezea kadri uwezavyo ni nyoka wa aina gani ili dawa sahihi ya kudhibiti sumu ya nyoka iweze kutumika. Kama inawezekana hakikisha una dawa ya sumu ya aina za nyoka wanaopatikana sana eneo lako katika sanduku lako la akiba ya dawa kabla dharura kama hizo hazijatokea.
 
Kwa ajili ya Kobra mwenye asili ya kutema sumu: tiririsha maji mengi machoni. Kama huna maji au maziwa bia inaweza kutumika. Usitumie kemikali zinazowasha sana.
 
Chatu huwa hawana sumu, lakini wanapong’ata wanaweza kusababisha maambukizi makali ya ngozi. Chunguza kidonda na kama kuna dalili ya maambukizi— wekundu kuongezeka, joto kuongezeka, kuvimba, au usaha, toa matibabu yanayostahili kwa kidonda ambacho kimepata maambukizi. Mara chache nyoka hao husababisha majeraha kwa kujiviringisha juu ya mwili wa mtu na kumkamua.
Kama eneo la jeraha linaonesha meno ya nyoka yalipoingilia, basi nyoka huyu ana sumu. Kama hakuna alama za meno ya nyoka, kuna uwezekano mdogo kwamba nyoka huyu ana sumu, lakini anaweza kuwa na sumu.
 
Aah NUMBISA naona umetupia avatar ile niliyokutengenezea safi sana ndo maana huwa nakukubali sana wewe.Love in the air
Kumbe ni wewe mkuu? Tulikuongelea hapa juzi; na aliomba ikibidi utengeneze nyingine kali zaidi. Halafu mambo yakikamata moto itabidi tuongee mambo ya mahari. Mimi ndo nakusanyaga mahari katika uzi huu. Kama una maswali kuhusu mahari kuhusu Mila za kikwetu niulize [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Hahahah ukiweza ntengenezee kengine
Na mahari aanze kuandaa sasa. Hatutakula avatar ati ! [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ee948bfc4abd23044ba155f11c76125f.jpg
 
Kumbe ni wewe mkuu? Tulikuongelea hapa juzi; na aliomba ikibidi utengeneze nyingine kali zaidi. Halafu mambo yakikamata moto itabidi tuongee mambo ya mahari. Mimi ndo nakusanyaga mahari katika uzi huu. Kama una maswali kuhusu mahari kuhusu Mila za kikwetu niulize [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Hahahahahaha

Hayaaaa nimefuta rudiiii ila ukirudia kuniuza nayajaza ya kutosha
 
Kumbe ni wewe mkuu? Tulikuongelea hapa juzi; na aliomba ikibidi utengeneze nyingine kali zaidi. Halafu mambo yakikamata moto itabidi tuongee mambo ya mahari. Mimi ndo nakusanyaga mahari katika uzi huu. Kama una maswali kuhusu mahari kuhusu Mila za kikwetu niulize [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Dah huyo NUMBISA huwa namvutia picha huko aliko sijui atakua yupoje maana post zake ni kuntu.Halafu mi mwanamke anayependa mpira nampenda sana na huyu NUMBISA naona kwenye mpira yumo
 
Umeanza eee nshakusanya mende ujueee

Back
Top Bottom