Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Safi kabisa sasa nione unamuomba isis apost kanyoka narundika mende kibao tena yale makubwa makubwa hahahahNawacheki waoga wa nyoka. Darasa la sita nilimkanyaga mmoja akaniuma kidogo nife. Siwapendi ila siwaogopi na waombe sana nisifike China siku moja...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mkiposti mende tu hamtaniona hapa ng'o !!!
Mende siwaogopi ndo kwanza nikiwaona nawabamiza kwa kiatu au mguu kanyaga hahahah