Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
saaf sana uwez ukamshika mbuzi wa tambiko kama unashika mbuzi asiye wa tambikoKIBOSHO, MOSHI: Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya James Mallya amejeruhiwa kwa kukatwa na Panga baada ya kumshika Mbuzi wa tambiko - Kiongozi wa tambiko hilo alikasirishwa na namna James alivyokuwa akimshika Mbuzi huyo kinyume na taratibu za mila. - James Mallya ambaye ni mkazi wa Dar es Salaam alijeruhiwa kichwani na kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya KCMC kwaajili ya matibabu zaidi.
bas sawa ngoja na mm nianze kujitoa ufahamu nipende nyoka mijus kenge na mbwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu !!!
Binadamu wote hatuwezi kufanana. Tatizo linazuka pale mmoja anapolazimisha asichokipenda yeye na wengine wasikipende (and vice versa).
Me sipendi pusi ooh ndio pakaSipendiiiiiiiiiiiii
Paka
Mbwa
Nyokaaaaa
Tumbili
Funzaaa
Inshalah walahi!Muda wake naye utafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pengine alikuwa hajui. Mwanaume wa Dar jamani angeeleweshwa vizuri tu badala ya kucharangwa mapanga....saaf sana uwez ukamshika mbuzi wa tambiko kama unashika mbuzi asiye wa tambiko
Mimi ni mende...dah...Sipendiiiiiiiiiiiii
Paka
Mbwa
Nyokaaaaa
Tumbili
Funzaaa
Kwa nini ujitoe ufahamu?bas sawa ngoja na mm nianze kujitoa ufahamu nipende nyoka mijus kenge na mbwa
huku hatuna muda wa kueleweshana ni mapanga tu siku nyingine utakaa mbal na mbuz wa tambikoPengine alikuwa hajui. Mwanaume wa Dar jamani angeeleweshwa vizuri tu badala ya kucharangwa mapanga....
Hahahaha[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] Nyoka[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Me sipendi pusi ooh ndio paka
Ni uhuru na utashi wako mkuu na una uhuru kabisa wa kufanya hivyo ali mradi tu hujalazimishwa na mtu. Utashi ndiyo unatutofautisha Homo Sapiens na wanyama wengine.bas sawa ngoja na mm nianze kujitoa ufahamu nipende nyoka mijus kenge na mbwa
Malikia wetu Isis punguza basi nyoka hao yani huku nasisimka nikiwaona nahisi kama yupo hapa jirani uuuwiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaha
Hahahha tupo wengiInshalah walahi!