Kidowle
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,484
- 3,260
Don worry lady we having fun
Don worry lady we having fun
Mkuu kidogo nishtuke. Kumbe unaongelea paka ...huuuuu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me sipendi pusi ooh ndio paka
nataka nijue kuna nn kizur toka kwa nyoka,, nipo dunian kujifunza kila kituKwa nini ujitoe ufahamu?
Kuiga vitu sio vizuri, post kitu chako ukipendacho! That’s all!
Mwenzio najikaza hapaMalikia wetu Isis punguza basi nyoka hao yani huku nasisimka nikiwaona nahisi kama yupo hapa jirani uuuwiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huu uzi we uwache jinsi ulivyo post kitu chako!kwann mnapenda picha za nyoka kuliko za mademu wakali wenye chura
Mwenzio najikaza hapa ,nawapita kasiiiMalikia wetu Isis punguza basi nyoka hao yani huku nasisimka nikiwaona nahisi kama yupo hapa jirani uuuwiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni paka bhana huwa nawaita pusi [emoji38]Mkuu kidogo nishtuke. Kumbe unaongelea paka ...huuuuu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimwogopa ndiyo atakutokea! HahahahaMalikia wetu Isis punguza basi nyoka hao yani huku nasisimka nikiwaona nahisi kama yupo hapa jirani uuuwiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nawacheki waoga wa nyoka. Darasa la sita nilimkanyaga mmoja akaniuma kidogo nife. Siwapendi ila siwaogopi na waombe sana nisifike China siku moja...[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzio najikaza hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna namnaMwenzio najikaza hapa
Kuna sehemu nilienda tumbili wengi wanaiba kila wakionacho kero tupuMimi ni mende...dah...
Tumbili mlikorofishana wapi?
Na mbwa na paka je?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu uzi we uwache jinsi ulivyo post kitu chako!
Hamna majibu wala maswali!
Ni mwendo wa utajiju!
Jamani mbona wazuri sana!Mwenzio najikaza hapa ,nawapita kasiii
Ahsante sana Queen wetuUkimwogopa ndiyo atakutokea! Hahahaha
Alright
Kuanzia kesho!
lakin nyoka wako wazur nahis ni wakidhungu ao sio wale wa Nanyamba kule mtwaraHuu uzi we uwache jinsi ulivyo post kitu chako!
Hamna majibu wala maswali!
Ni mwendo wa utajiju!
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wewe ni nan [emoji15] [emoji15] unaogopa mende hahahaNawacheki waoga wa nyoka. Darasa la sita nilimkanyaga mmoja akaniuma kidogo nife. Siwapendi ila siwaogopi na waombe sana nisifike China siku moja...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mkiposti mende tu hamtaniona hapa ng'o !!!