Kumbe kila mtu ana mbabe wake hahahaUsimshangae kwa hilo.
Ukubwa wowote wa mdudu TANDU(herufi kubwa ni kumheshimu) akionekana sehemu ya shughuli yangu,automatikale shughuli inakuwa imefikia tamati namuacha TANDU aendelee kujimwaya mwaya kwa raha zake...
Hahahaha uwiiiTumbili nimeapizana nao popote nitakapo kutana nao hata wawe ngedere ni mwendo wa mawe tu.
Wamemuibia bibi angu huko kijijini taa za kuchaji mbili za solar.
Kwanza ni wezi wa vyakula,kipindi cha shida ya maji,usihifadhi kwenye vidumu vya lita 5,wanaibaaaa.... Shiieezyii kabisa...
Mmmh naona umeweka jakitoooo kesho unawakuta wa kutoshaSiweki jamani
Nyoka huyo!Hee sikua naiangalia kwa umakin hii picha haaa naiogopa nayo,nilidhan kofia tu
hata ukiwa kwenye shughuli pendwa utaacha kufanya na kuondoka umuache yeye ajimwaye mwayeUsimshangae kwa hilo.
Ukubwa wowote wa mdudu TANDU(herufi kubwa ni kumheshimu) akionekana sehemu ya shughuli yangu,automatikale shughuli inakuwa imefikia tamati namuacha TANDU aendelee kujimwaya mwaya kwa raha zake...
No walahiMmmh naona umeweka jakitoooo kesho unawakuta wa kutosha
Ukibandika mamende nami najibu na manyoka halafu natimka mbio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Tandu akikuuma muziki wake si wa mchezo. Kufa hutakufa ila cha moto utakiona !!!Kumbe kila mtu ana mbabe wake hahaha
Weka mende!Aaahh umeanza uchokoz ee
Kakusanye nyoka zaidi sis...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baadae my dears
Jizazi [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Weka mende!
Hahahaha
Naogopa sana nyoka,TANDU ndio anae ninyong'onyesha zaidi kwa kweliKumbe kila mtu ana mbabe wake hahaha