Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani, tusifokasi kwenye phobia bana. Tujadilini hata uchawi wa mamba huko Nansio unavyofanya kazi huko Nansio. Mamende ya nini jamani?

Watu huwa wananiulizaga "Mbona we ghetto lako safi namna hii 24/7?". Hasa mademu huwa wanavutiwa sana kumbe hawajui mi napambana kuzuia kokorochi infesitesheni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haahahhaa leo kwa mara ya kwanza nimemshinda shimba.

Huko nansio kwa akina yego sijawah fika
 
28428918_162666937865288_5336146692301389824_n.jpg
 
Hah
Ukatili huo...Ila.mamende ukiyaona yasigine tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna. Ila hicho kiatu unachosiginia kitupe kabisa au kiache huko nje kinyeshewe na mvua kwa seasons hata mbili hivi...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah si ntatupa vingi mie napigia chochote hata daftar kisha nafuta maisha yaanendelea hahaha
 
Back
Top Bottom