Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haahahhaa leo kwa mara ya kwanza nimemshinda shimba.

Huko nansio kwa akina yego sijawah fika
 
Hah
Ukatili huo...Ila.mamende ukiyaona yasigine tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna. Ila hicho kiatu unachosiginia kitupe kabisa au kiache huko nje kinyeshewe na mvua kwa seasons hata mbili hivi...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah si ntatupa vingi mie napigia chochote hata daftar kisha nafuta maisha yaanendelea hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…