Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Dalili za Wernicke-Korsakoff ni dhihirisho la upungufu wathiamini, kwa kawaida kama athari ya kiwango cha pili cha matumizi mabaya ya pombe.[69] Dalili hizi ni dhihirisho la pamoja la matatizo mawili ya mwanzoni , Saikosi ya Korsakoff na uvimbaji ubongo (enselopathia) wa Wernicke, yaliyotajwa kuambatana na majina ya Dkt. Sergei Korsakoff na Dkt. Carl Wernicke. Uvimbe wa ubongo wa Wernicke ni dhihirisho kubwa wa dalili na hubainika kwa hali ya kuchanganyikiwa wakati ambapo dalili kuu za saikosi ya Korsakoff ni amnesia na mvurugiko wa utendaji.[