Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Utofautiano wa Homoni
Unywaji pombe kupita kiasi unaweza kusababisha mchakato wa hiperoestrojeni.[110] Imekisiwa kwamba vinywaji vilivyo pombe vinaweza kudhibiti misombo ya estrojeni. Kwa wanaume, viwango vikubwa vya estrojeni vinaweza kusababisha kushindwa kwa kazi za makende na ukuaji wa hulka ya uke ikiwa ni pamoja na ukuaji wa matiti ya kiume zinazoitwa jainekomastia.[111][112] Kwa wanawake, viwango juu vya estrojeni kutokana na unywaji pombe kupindukia vimehusishwa na ongezeko la hatari ya kansa ya matiti.[