Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Utafiti mwingine ulihitimisha kuwa, "Matokeo yanaonyesha kwamba unywaji divai, hasa divai nyekundu unaweza kuwa na athari ya kinga dhidi ya hioma ya mafua. Bia, vileo vikali na pombe jumla hazionekani kuathiri matukio ya homa ya mafua.