Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
HahahahaWakoromije[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hata kusoma yale maneno ya "striktile purohibitedi" hamuna....View attachment 707054
Hahahaha aiseeeNumbisaaaa...View attachment 707056
Kijana wangu Shimba puliziii..."fwuuata insitirakisheni hapo chini"View attachment 707055
Mie pemben akanipita na kabiashara kangu[emoji125] [emoji125] [emoji125] Ndizi za kukaanga na kiti hot...View attachment 707060
Hii picha kwa walifiwa na watu wao wa karibu ndio watayahisi zaidi na kwa ukaribu maumivu ya huyu mtoto. Picha alizozishuhudia huko atokako ni ngumu mno kuzisahauMtoto wa miaka minne katikati ya jangwa toka Siria kwenda Jordan peke yake.
Amebeba nguo za mama na dada yake(wote marehemu) kwenye rambo.
Mungu jidhihirishe ukuu wako kwa mtoto huyu yatima[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] View attachment 707061