andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kama namuona kijana wangu Shimba na gushingo gwake kachokaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama namuona kijana wangu Shimba na gushingo gwake kachokaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yego ndo atazimia kabisa anakuta ka bebi kake kapo hatua za mwisho kama hiviKama namuona kijana wangu Shimba na gushingo gwake kachokaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee ni tatizo sana.Mie pemben akanipita na kabiashara kanguView attachment 707070
Hahahhahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee ni tatizo sana.
Mara ya kwanza kabisa nilikutana na beseni limebebwa na mkaka limejaa panya!! Nilishtuka...
Kugeuka upande wa pili nikaona moshi umechanganya vibaya mno...
Nikamuuliza"adaa kodi kanyenya ndi a chiani?(mishikaki ni ya mnyama gani?)
Akajibu "ndi a galu" (ni ya mbwa) chiaaa!!!!!
Nimekuhisi kama kuna magumu fulani kwako,yote ni moja ya njia ya maisha yetu.Hii picha kwa walifiwa na watu wao wa karibu ndio watayahisi zaidi na kwa ukaribu maumivu ya huyu mtoto. Picha alizozishuhudia huko atokako ni ngumu mno kuzisahau