Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakoromije[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hata kusoma yale maneno ya "striktile purohibitedi" hamuna....
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Ndizi za kukaanga na kiti hot...
 
Mtoto wa miaka minne katikati ya jangwa toka Siria kwenda Jordan peke yake.
Amebeba nguo za mama na dada yake(wote marehemu) kwenye rambo.

Mungu jidhihirishe ukuu wako kwa mtoto huyu yatima[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hii picha kwa walifiwa na watu wao wa karibu ndio watayahisi zaidi na kwa ukaribu maumivu ya huyu mtoto. Picha alizozishuhudia huko atokako ni ngumu mno kuzisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…