Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie pemben akanipita na kabiashara kanguView attachment 707070
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee ni tatizo sana.
Mara ya kwanza kabisa nilikutana na beseni limebebwa na mkaka limejaa panya!! Nilishtuka...
Kugeuka upande wa pili nikaona moshi umechanganya vibaya mno...
Nikamuuliza"adaa kodi kanyenya ndi a chiani?(mishikaki ni ya mnyama gani?)
Akajibu "ndi a galu" (ni ya mbwa) chiaaa!!!!!
 
Hahahhahahahahah
 
Hii picha kwa walifiwa na watu wao wa karibu ndio watayahisi zaidi na kwa ukaribu maumivu ya huyu mtoto. Picha alizozishuhudia huko atokako ni ngumu mno kuzisahau
Nimekuhisi kama kuna magumu fulani kwako,yote ni moja ya njia ya maisha yetu.

Nimekuwa nikimfikiria huyo mtoto maisha atakayo yapitia,ameweza kubeba nguo kama kumbukumbu ya kizazi chake kilicho mtangulia,walio mkuta hao jangwani walilia kwa uchungu maana hawakumkuta na maji wala chakula,na mtoto hajui anako kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…